MAMBO GANI YA KUZINGATIA UNAPOMCHAGUA BROKER.

MAMBO GANI YA KUZINGATIA UNAPOMCHAGUA BROKER.

 

MAMBO GANI YA KUZINGATIA UNAPOMCHAGUA BROKER.

1. Spread.

2. Commision and fees.

3. Urahisi wa utumiaji wa trading platform ukiwa chini yake.

4. Kiasi cha chini unachoweza kudeposit.

5. Gharama zozote za ziada kama zipo.

6. Control juu ya matukio mbalimbali yanapotokea dhidi ya position zako.

7. Platform gani unaweZa kutumia ukiwa chini yake.

8. Urahisi wa kudeposit na kuwithdraw.

9. Maaada wa huduma kwa wateja. 

9. Ana reputation gani, kama ana partner na taasisi ipi inayoaminika.

10. Management yake nzima, oFisi zake na namna ya kumfikia kama ana fikika.

CAN MARKET MAKER INFLUENCE MARKET PRICES AGAINST A CLIENT POSITION?.

CAN MARKET MAKER INFLUENCE MARKET PRICES AGAINST A CLIENT POSITION?.


CAN MARKET MAKER INFLUENCE MARKET PRICES AGAINST A CLIENT POSITION?. 

Kwa kifupi Hapana, Kwa sababu soko la Forex ni kitu kinachotoa taswira ya hali halisi ya uchumi na mwenendo wa uchumi kwa sarafu husika.

Hivyo hakuna namna taasisis fulani ikashusha au kupandisha thamani ya sarafu sababu ya interest zake binafsi. Hii ni tafsiri ya kuwa hakuna mtu binafsi ama taasisi binafsi ana nguvu za kutosha ya kupeleka prices katika uelekeo fulani.

Hili ni soko kubwa duniani hivi sasa, lenye ujazo usiopungua dolla trilion tano za marekani, Hakuna market maker aliyepo kwenye position ya kuaffect soko kwa kumanipulate direction.

DO MARKET MARKER GO AGAINST A CLIENT’s POSITION?.

DO MARKET MARKER GO AGAINST A CLIENT’s POSITION?.


DO MARKET MARKER GO AGAINST A CLIENT’s POSITION?.

Kwa tafsiri hawa ni watu wa kati kwenye position zote za clients wao na wanatoa ofa ya kuuza au kununua katika soko.

Kwahio hamna jambo lolote binafsi baina ya market maker na mteja. Kiujumla market marker anajukumu la kumlinda mteja wake kutokana kanuni na sheria za risk management ndio maana kuna brokers hawakupi leverage ambayo ni hatari kwako na pia hufuata muongozo wa taasisi zinazowasimamia (regulatory authorities).

WHO ARE MARKET MAKERS?.

WHO ARE MARKET MAKERS?.


 WHO ARE MARKET MAKERS?.

Banks or Trading platforms, ambao hununua na kuuza idea za kifedha zinazosababisha au kuitwa “make the market”,
huwa mtu kati ambao huwakilisha clients, kujenga vipato vyao kupitia commision.
RISK

RISK


 RISK.

Licha ya kuwa forex trading inaweza kupa faida, kuna risk ambayo ipo. Hii hujumuisha Exchange rates risk, Interest rates risk, credit risk na event risk.
Mfumo wa price na graph za pair zipo katika nadharia ya kupanda na kushuka kwa range fulani. Na kufuatia nadharia hio ndipo tunapata uwezo wa kubashiri/predict movement zijazo.
Mara kadhaa huenda kama tunavyotarajia na hio huwa ni faida lakini mara inapokua haijaenda kama tunavyotarajia sababu hizo hapo juu huchangia. Matukio mbali mbali yanayotangazwa na kutokea na kuathiri mzunguko wa kawaida wa sarafu.
SPREADS

SPREADS

 

SPREADS.

Tofauti kati ya kuuza na kununua Au kwa namna nyingine tunasema tofauti ya bei ya market maker kuuza kwa clients wake au tofauti ya market maker kununua kwa clients wake.

Mfano ukaweka oda mbili kwa wakati mmoja kuuza na kununua katika soko zote zitakuwa kwenye hasara kwa muda. Tofauti hio ambayo inaonesha hasara ndio tunaita SPREAD.

Hiki ni moja ya kitu cha msingi sana cha kuzingatia unavyotaka kuchagua broker wa kua chini yake. Broker wengi wanafanya manipulation kwenye eneo hili.