RISK
RISK.Licha ya kuwa forex trading inaweza kupa faida, kuna risk ambayo ipo. Hii hujumuisha Exchange rates risk, Interest rates risk, credit risk na event risk.
Mfumo wa price na graph za pair zipo katika nadharia ya kupanda na kushuka kwa range fulani. Na kufuatia nadharia hio ndipo tunapata uwezo wa kubashiri/predict movement zijazo.
Mara kadhaa huenda kama tunavyotarajia na hio huwa ni faida lakini mara inapokua haijaenda kama tunavyotarajia sababu hizo hapo juu huchangia. Matukio mbali mbali yanayotangazwa na kutokea na kuathiri mzunguko wa kawaida wa sarafu.
