LEVERAGE IS THE FOREX ADVANTAGE.
LEVERAGE IS THE FOREX ADVANTAGE.Uwiano wa uwekezaji dhidi ya thamani halisi hii ndio inaitwa LEVERAGE. Kutumia $1000 kufanya trade yenye thamani ya $100000 hii ndio Leverage ambayo ni sawa na 1:100. $1000 ndio pekee ambayo unaiweka kwenye risk, lakini faida utayoipata ni mara nyingi zaidi ya kiasi ulichorisk.
.jpeg)