SPREADS
SPREADS.
Tofauti kati ya kuuza na kununua Au kwa namna nyingine tunasema tofauti ya bei ya market maker kuuza kwa clients wake au tofauti ya market maker kununua kwa clients wake.
Mfano ukaweka oda mbili kwa wakati mmoja kuuza na kununua katika soko zote zitakuwa kwenye hasara kwa muda. Tofauti hio ambayo inaonesha hasara ndio tunaita SPREAD.
Hiki ni moja ya kitu cha msingi sana cha kuzingatia unavyotaka kuchagua broker wa kua chini yake. Broker wengi wanafanya manipulation kwenye eneo hili.
