EXCHANGE RATES.

EXCHANGE RATES.


 EXCHANGE RATES.

Sababu sarafu zinatrediwa in pairs and exchanged kutoka sarafu moja kuja nyingine unapotrade.Rate unavyokua unafanya exchange tunaita exchange rate.Sarafu kubwa zinatradiwa against dolla ya marekani (USD) ambayo ndio sarafu inayotrediwa zaidi ya sarafu yoyote.Sarafu zinazofuata kwa kutrediwa zaidi ni euro (EUR), yen ya japan (JPY) , pound ya uingereza (GBP) na Swiss Franc (CHF).Na pindi sarafu hizi nne zinapokuatana na dolla ya marekani hutengeneza pair tunazoziita major pair.Na karibuni dolla ya Australia (AUD) pia inatamkwa kama inaweka muunganiko wa major pair.

Sarafu ya mwanzo iliopo kwenye pair huitwa base currency na sarafu inayokaa upande wa pili huita Counter au Quote currency.Exchange rates hufafanua ni kiasi gani cha quote currency kinatakiwa kulipwa ili kupata unit moja ya base currency.