CAN MARKET MAKER INFLUENCE MARKET PRICES AGAINST A CLIENT POSITION?.
CAN MARKET MAKER INFLUENCE MARKET PRICES AGAINST A CLIENT POSITION?.
Kwa kifupi Hapana, Kwa sababu soko la Forex ni kitu kinachotoa taswira ya hali halisi ya uchumi na mwenendo wa uchumi kwa sarafu husika.
Hivyo hakuna namna taasisis fulani ikashusha au kupandisha thamani ya sarafu sababu ya interest zake binafsi. Hii ni tafsiri ya kuwa hakuna mtu binafsi ama taasisi binafsi ana nguvu za kutosha ya kupeleka prices katika uelekeo fulani.
Hili ni soko kubwa duniani hivi sasa, lenye ujazo usiopungua dolla trilion tano za marekani, Hakuna market maker aliyepo kwenye position ya kuaffect soko kwa kumanipulate direction.
