EXCHANGE RATES.

EXCHANGE RATES.


 EXCHANGE RATES.

Sababu sarafu zinatrediwa in pairs and exchanged kutoka sarafu moja kuja nyingine unapotrade.Rate unavyokua unafanya exchange tunaita exchange rate.Sarafu kubwa zinatradiwa against dolla ya marekani (USD) ambayo ndio sarafu inayotrediwa zaidi ya sarafu yoyote.Sarafu zinazofuata kwa kutrediwa zaidi ni euro (EUR), yen ya japan (JPY) , pound ya uingereza (GBP) na Swiss Franc (CHF).Na pindi sarafu hizi nne zinapokuatana na dolla ya marekani hutengeneza pair tunazoziita major pair.Na karibuni dolla ya Australia (AUD) pia inatamkwa kama inaweka muunganiko wa major pair.

Sarafu ya mwanzo iliopo kwenye pair huitwa base currency na sarafu inayokaa upande wa pili huita Counter au Quote currency.Exchange rates hufafanua ni kiasi gani cha quote currency kinatakiwa kulipwa ili kupata unit moja ya base currency.

HOW DO YOU MONITOR YOUR FOREX TRADING?.

HOW DO YOU MONITOR YOUR FOREX TRADING?.


HOW DO YOU MONITOR YOUR FOREX TRADING?.

Online, mahali popote, mda wowote.Una full control ya kumonitor tradings zako, kuangalia mabadiliko, kubadilisha baadhi ya maamuzi kama kubadili ukomo wa hasara (Stop Loss) na target ya faida (Take profit), Kufunga trades au kuwithdraw faida.

HOW DO YOU START TRADING?.

HOW DO YOU START TRADING?.


 HOW DO YOU START TRADING?.

Ukiwa umeshapata elimu ya kutosha na ukawa ushafanya maamuzi ya kutosha kuwa upo tayari kutrade, Ni lazima Ujisajili kwa broker ambaye unaona utendaji wake wa kazi unakuridhisha na kisha utadeposit kiasi ambacho ungependa kiwe ni Margin yako katika kutrade. Njia za kudeposit ni tofauti inaweza ikawa kupitia Card ya benki, paypal, Netteler, Skrill na Mobile money kama Mpesa ambazo kwa sasa broker wengi wamezileta ukanda huu wa Afrika Mashariki.

HOW RISKY IS FOREX TRADING?.

HOW RISKY IS FOREX TRADING?.


 HOW RISKY IS FOREX TRADING?.

Hauwezi kupoteza zaidi ya mtaji wako. Kama utaanza na $100 basi haitatokea umepoteza $200. Mtaji wako unaoanza nao unaitwa MARGIN. Faida utakayotengeneza haina ukomo, lakini hauwezi kupoteza zaidi ya MARGIN yako. Unashauriwa kwa nguvu zote “KAMWE USIRISK ZAIDI YA AMBACHO HAUWEZI KUKIPOTEZA “
HOW DOES ONE PROFIT IN THE FOREX MARKET?

HOW DOES ONE PROFIT IN THE FOREX MARKET?


 HOW DOES ONE PROFIT IN THE FOREX MARKET?.

Kifupi ni kwa kununua chini na kuuza juu.Upatikanaji wa faida unakuja kulingana na mabadiliko ya thamani ya bei iwe chini kwenda juu au juu kwenda chini.Tofauti na masoko ya hisa ambapo share inanunuliwa ili tu iende juu.Pia Forex haihitaji kuwepo physical ili kufanya trades.

LEVERAGE IS THE FOREX ADVANTAGE.

LEVERAGE IS THE FOREX ADVANTAGE.


 LEVERAGE IS THE FOREX ADVANTAGE.

Uwiano wa uwekezaji dhidi ya thamani halisi hii ndio inaitwa LEVERAGE. Kutumia $1000 kufanya trade yenye thamani ya $100000 hii ndio Leverage ambayo ni sawa na 1:100. $1000 ndio pekee ambayo unaiweka kwenye risk, lakini faida utayoipata ni mara nyingi zaidi ya kiasi ulichorisk.
WHAT HAPPENS IN THE MARKET?.

WHAT HAPPENS IN THE MARKET?.


 WHAT HAPPENS IN THE MARKET?.

Soko ni sehemu ambalo bidhaa zinauzwa. Pia hata kwenye Forex, bidhaa ni sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua Euro baina ya dolla ya marekani, Au ukauza Japanese Yen dhidi ya Dola ya Canada. Ni ujumla wa kutrade sarafu moja dhidi ya sarafu nyingine.