HOW DO YOU START TRADING?.
HOW DO YOU START TRADING?.
Ukiwa umeshapata elimu ya kutosha na ukawa ushafanya maamuzi ya kutosha kuwa upo tayari kutrade, Ni lazima Ujisajili kwa broker ambaye unaona utendaji wake wa kazi unakuridhisha na kisha utadeposit kiasi ambacho ungependa kiwe ni Margin yako katika kutrade. Njia za kudeposit ni tofauti inaweza ikawa kupitia Card ya benki, paypal, Netteler, Skrill na Mobile money kama Mpesa ambazo kwa sasa broker wengi wamezileta ukanda huu wa Afrika Mashariki.
.png)